





Ripoti ya shirika la habari la Ahlul Bayt(as)-ABNA- Siku ya Ijumamosi tarehe 3/11/2012 kwa munasaba wa Eid Al-Ghadir Mji wa Najaf Al-Ashraf ulishudia maelfu ya wapenzi wa Imam Ally Ibn Abi Talib(as), na katika Haram Tukufu ya Imam Ally(as) kufanya sherehe za kutawalishwa Imam Ally(as) kuwa khalifa baada ya Mtukufu Mtume(saw).





